Maelfu Wanufaika na Huduma Mashinani Uwanja wa Tononoka Mombasa
Maelfu ya wakaazi wa Mombasa wamejitokeza katika uwanja wa Tononoka kunufaika na huduma mashinani zilizoandaliwa na Wakfu wa Lulu la Jamii kwa ushirikiano na Huduma Center, wakieleza kuridhishwa na hatua…
Mahakama Yaeleza Mamlaka ya Majaji, Wakaazi Walalamikia Dhulma Dhidi ya Watoto Mariakani
Idara ya mahakama imesisitiza kuwa sheria inawapa majaji mamlaka ya kutoa uamuzi mbadala tofauti na adhabu zilizopendekezwa kisheria, huku hakimu mkuu wa mahakama ya Mariakani Kimani Mburu akieleza kuwa kutoeleweka…
Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii Jomvu Watarajiwa Kuimarisha Uchumi na Utalii
Shughuli za kiuchumi na utalii zinatarajiwa kuimarika kufuatia ujenzi wa hoteli ya kitalii katika eneo la Jomvu Ganahola na shirika la kijamii la Bigship. Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib,akizungumza alipozuru…
madereva waandamana jomvu,kuulaani msongamano wa matrela
Wakaazi wa Jomvu na wafanya biashara wanalalamikia msongamano wa malori Unao shuhudiwa kwenye barabara ya Madafuni na Jomvu mikanjuni. Wakizungumza na wanahabari wamedai kwamba barabara hiyo huwa na msongamano mkubwa…
kadzo ajiunga shule ya mama ngina licha ya umaskini unaowakumba
Kadzo Catherine Ni Mwenye Tabasamu Baada Ya Mbunge Wa Jomvu Badi Twalib Kuingilia Kati Na Kufufua Ndoto Yake Ya Kujiunga Na Shule Ya Upili Ya Mama Ngina. Hii Ni Baada…
USHAURI MZITO KWA WANAFUNZI
Wanafunzi washauriwa kukubali matokeo ya mtihani vile ya livyo.
KINA DADA WASAKATA DIMBA LA GHOSHI CHAANI
Zaidi ya timu nane za kinadada zinashiriki kwenye mashindano Ali Goshi makala ya nne yanayoendelea katika uwanja wa shule ya msingi ya Chaani. Goshi ameandaa mashindano haya ya kina dada…
WAHUBIRI WAKUTANA NA GAVANA WA mOMBASA ABDULSWAMAD
WAHUBIRI NA MAPASTA KUTOKA MAKANISA MBALI MBALI JIJINI MOMBASA WAMEFANYA KIKAO NA GAVANA ABDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AMBAPO WAMEJADILI MASWALA MBALI MBALI YANAYOWAKABILI.KIKAO HICHO KIMEFANYIKA ENEO LA KIEMBENI.
No Child left behind asema Gavana wa Mombasa
Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, ameendeleza juhudi za kuhakikisha watoto kutoka familia zisizojiweza wanapata elimu bila vikwazo kwa kulipia ada za shule kwa wanafunzi kadhaa. Katika hotuba yake, Gavana…
“Coca-Cola Launches ‘Funua Flava’ Cash Bonanza IN MOMBASA”
Coca-Cola has officially launched a customer reward campaign known as Funua Flava Pata Mita in Mombasa city. As part of this campaign, customers will have the opportunity to win one…
