ELKANA JACOB FOOTBALL TOURNAMENT KUANZA RASMI NYALI
Mashindano ya soka yanayodhaminiwa na Elkana Jacob, yanayolenga kuibua vipaji vya vijana, kuhamasisha amani na kuimarisha mshikamano katika eneo la Nyali, yanatarajiwa kuanza rasmi hivi karibuni. Mashindano hayo yatakayoshirikisha timu…
