Gideon Zollo Mangale aweka azma wazi kuwania Ugavana Kwale 2027
Share this to

KWALE, Kenya

Huku viongozi wakiendelea kurusha sera majukwaani kila uchao wawaniaji wapya waibuka ili kushinikiza azma ya kuokoa wananchi .Gideon Zollo Mangale mkaazi wa Gulanze , eneo bunge la Kinango atangaza azma yake ya kuwania kiti cha ugavana wa Kaunti ya Kwale katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 kupitia chama cha The Equitable, kauli mbiu ikiwa “Kwa Watu, Kwa Maendeleo, Kwa Kwale!” pamoja na kusisitiza kipaumbele mazingira na maji, kilimo, afya, elimu, miundombinu, utalii na uchumi wa baharini, pamoja na uwezeshaji wa vijana na ujasiriamali.Thelma Mwadzaya anatuarifu zaidi.

Hata hivyo, masuala ya uteuzi rasmi wa chama, mipango ya kampeni na utekelezaji wa vipaumbele hivyo yatahitaji kufuatiliwa kadri maandalizi ya uchaguzi wa 2027 yanavyoendelea.

Uchaguzi wa 2027 unatarajiwa kuwa jukwaa muhimu kwa wagombea kueleza sera na mikakati yao ya kuimarisha maendeleo ya Kwale.


Share this to

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *