Share this to

Zaidi ya timu nane za kinadada zinashiriki kwenye mashindano Ali Goshi makala ya nne yanayoendelea katika uwanja wa shule ya msingi ya Chaani.

Goshi ameandaa mashindano haya ya kina dada huku ya wanaume yakifikia hatua ya fainali.

Michuano hiyo inashirikisha timu za kina dada kutoka maeneo mbali mbali ikiwemo Blue Sea ladies.


Share this to

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *