Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii Jomvu Watarajiwa Kuimarisha Uchumi na Utalii

Share this to

Shughuli za kiuchumi na utalii zinatarajiwa kuimarika kufuatia ujenzi wa hoteli ya kitalii katika eneo la Jomvu Ganahola na shirika la kijamii la Bigship.

Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib,akizungumza alipozuru eneo hilo amesema atahakikisha eneo hilo linapata barabara bora huku akibainisha kuwa hoteli hiyo itaongeza ajira, kuimarisha uvuvi na kuinua uchumi wa eneo hilo.


Share this to

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *