No Child left behind asema Gavana wa Mombasa

Share this to

Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, ameendeleza juhudi za kuhakikisha watoto kutoka familia zisizojiweza wanapata elimu bila vikwazo kwa kulipia ada za shule kwa wanafunzi kadhaa.

Katika hotuba yake, Gavana Abdulswamad alisisitiza kuwa hakuna mtoto anapaswa kukatizwa masomo kwa sababu ya ukosefu wa ada. Aliongeza kuwa serikali ya kaunti itaendelea kusaidia wanafunzi wanaohitaji msaada ili kufanikisha ndoto zao.


Share this to

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *