DNA reveals fate of missing Isiolo boda rider George Gitonga
By:Betty Luke DNA analysis has confirmed that human remains recovered in a thicket near Uhuru Primary School in Isiolo belong to George Gitonga, a trader who went missing in May…
Mikoko 5,000 kupandwa kwa saa moja
By:Alii Vincent Kenya inatarajia kuweka historia duniani Jumapili kwa kujaribu kuvunja rekodi ya Guinness World Records kupitia zoezi la kupanda miche 5,000 ya mikoko ndani ya saa moja. Jaribio hilo…
Mwanga wa KileleĀ |Habari za AsubuiĀ |Kilele Radio
Sekta ya afya yakabiliwa na mgomo mpya |Kingi alaumu migawanyiko ya viongozi wa Pwani |Waathiriwa wa ufadhili wa Finland wadai fedha zao |Vipaji vya soka kung’ara Changamwe
Serikali yapewa notisi ya mwisho na wauguzi
Muungano wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umetoa notisi ya siku saba ya mgomo, ukisema wanachama wake wataacha kutoa huduma katika hospitali zote za kaunti endapo serikali haitatekeleza matakwa yao.…
Parents protest in Eldoret after Mandago acquitted in Finland education case
By:Robert Mutasi Parents and students affected by the Sh1 billion Finland education program in Uasin Gishu County have taken to the streets of Eldoret to demand refunds a day after…
Chaani Youth U-14 kuvaana na Mgalla United Jumapili
By:Hassan Pojjo Wazazi na walezi wa wachezaji wa Chaani Youth chini ya umri wa miaka 14 (Under-14) wametakiwa kuhakikisha watoto wao wanahudhuria mechi ya kirafiki itakayochezwa Jumapili, Julai 26, 2026,…
Jarida la Idha ya Umoja wa Mataifa-EU/UN News
Habari Za Kimataifa Kutoka kwa Idha ya Umoja wa Kimataifa
Kingi Asema Siasa Zaigawa Pwani
Spika wa Seneti, Amason Kingi, amesema ukosefu wa umoja miongoni mwa viongozi wa Pwani, hasa wakati wa uchaguzi, umechangia kuchelewesha maendeleo ya ukanda huo na kudhoofisha ushawishi wake katika siasa…
Shule ya Kibarani Kuboreshwa
By:Farida Ali Wakazi wa Kibarani katika Kaunti ya Mombasa wanatarajiwa kunufaika na miradi mipya ya elimu na miundombinu iliyozinduliwa ili kuboresha huduma za kijamii na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika…
KeNHA Yakabidhi Soko Mombasa
By:Alii Vincent Wafanyabiashara wadogo katika Kaunti ya Mombasa wanatarajiwa kunufaika baada ya Mamlaka ya Barabara Kuu nchini (KeNHA) kukabidhi rasmi Soko la Kisasa la Mikindani kwa Serikali ya Kaunti ya…
