Mwanga wa Kilele|Habari Za Jioni|Kilele Radio
Walemavu Wakemea Ubaguzi Kilifi |Walimu 50 Waondoka Isiolo Kufuatia Ukosefu Wa Usalama|Ruto Aahidi Elimu Bure Kwa Tvet Na Vyuo|Seneta Mandago Aachiliwa Huru Kesi Ya Sh1.1 Bilioni| Serikali Yatabiri Mvua Za…
Voliboli ya KPJSSA Yapamba Moto Pwani
By:Hassan Pojjo Makundi ya mashindano ya mpira wa wavu ya Kenya Primary and Junior Schools Sports Association (KPJSSA) Kanda ya Pwani mwaka 2026 yametangazwa, huku timu kutoka kaunti sita zikijiandaa…
Serikali Yatabiri Mvua za El Niño Kuendelea Hadi Januari
Serikali imesema mvua za El Niño zinazotarajiwa kunyesha mwishoni mwa mwaka sasa zinatarajiwa kuendelea hadi Januari mwaka ujao. Naibu Rais Kithure Kindiki alisema mabadiliko hayo yanatokana na mvua hafifu zilizonyesha…
Walemavu Wakemea Ubaguzi Kilifi
By:Glory Mwagambo Watu wenye ulemavu nchini wameitaka serikali na viongozi wa kisiasa kuhakikisha wanashirikishwa kikamilifu katika masuala ya kitaifa na kisiasa bila ubaguzi, wakisema bado wanakumbana na changamoto za kutengwa…
Isiolo: KNUT pulls out 50 teachers from Oldonyiro Subcounty over subsequent attacks
By:Betty Luke Isiolo KNUT Executive Secretary Hassan Diba and other officials address journalists in Isiolo town. PHOTO/Kilele Media At least 50 non-local teachers have been withdrawn from four schools in…
Police officer arrested after Sh400,000 bhang haul recovered in Nairobi raid
By:Betty Luke Police officer who was arrested in possession of 20Kg bhang. PHOTO/NPS A police officer is in custody after he was found in possession of 20 kilograms of suspected…
Ruto Aahidi Elimu Bure kwa TVET na Vyuo
By:Robert Mutasi Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake itaanzisha mfumo mpya wa ufadhili utakaohakikisha wanafunzi wote waliopangwa kujiunga na vyuo vikuu na vyuo vya mafunzo ya ufundi wanapata elimu…
Mduara Wa Taarab-Burudika na Kilele Radio
Kindi cha Burudani,pata vidokezo vya mapishi na urembo.
Mahakama yamwachilia Seneta Mandago katika sakata ya ufadhili wa Sh1.1 bilioni Uasin Gishu
By:Robert Mutasi Mahakama Kuu ya Nakuru imemwachilia huru Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago katika kesi ya ufisadi wa Sh1.1 bilioni za mpango wa masomo ya ughaibuni. Katika uamuzi uliotolewa…
Fresh push to reopen Hillo gold mines as government tightens oversight
By:Betty Luke Hillo gold mining site in Moyale, Marsabit. PHOTO/Courtesy The government has launched a fresh process to facilitate the reopening of the Hillo Gold Mines in Marsabit County by…
