Serikali Yahimizwa Kuongeza Lokeshini Rabai
By:Alii Vincent Viongozi wa serikali katika Eneo Bunge la Rabai, Kaunti ya Kilifi, wameitaka serikali kuu kuharakisha mchakato wa kupandisha hadhi baadhi ya kata ndogo kuwa lokesheni kamili ili kuboresha…
Mwanga Wa Kilele|Habari Za Asubui|Kilele Radio
Vijana waonywa dhidi ya magenge|Badi Twalib azindua miradi ya barabara| Robo fainali Kamoti Junior Super Cup Jumapili
Isiolo security shake-up as entire Central Station team is replaced
By:Betty Luke Isiolo County Commissioner Chaunga Mwachaunga during a security baraza in Isiolo. PHOTO/Betty Luke Isiolo County Commissioner Chaunga Mwachaunga has ordered the transfer of all officers stationed at Isiolo…
Kamoti Super Cup Yaingia Robo Fainali
By:Hassan Pojjo Mashindano ya Kamoti Junior Super Cup makala ya tatu yanaingia hatua ya robo fainali Jumapili, Julai 26, 2026, huku mechi mbili zikitarajiwa kuwakutanisha baadhi ya timu bora na…
VIONGOZI WA BONDE LA UFA KASKAZINI WAMLILIA RUTO KUOKOA WAKULIMA
By:Robert Mutasi Viongozi wa kidini, vijana na jamii kutoka Bonde la Ufa Kaskazini wamemwomba Rais William Ruto kuingilia kati haraka kuokoa maelfu ya wakulima walioharibiwa na ukame. Viongozi wa dini,…
Tahadhari Dhidi ya Magenge Jomvu
By:Alii Vincent Idara ya Usalama katika eneo bunge la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, imetoa tahadhari dhidi ya ongezeko la makundi ya vijana wanaojikusanya na kuhangaisha wakazi wa maeneo mbalimbali. Akizungumza…
Badi Azindua Barabara Mpya Aldina
By:Hassan Pojjo Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib, ameongoza ziara ya maendeleo katika eneo la Aldina, ambapo alizindua rasmi Barabara ya Aldina Catholic Access Road na kuweka jiwe la msingi la…
IFAHAMU NDOA-KIPINDI KINACHO ANGAZIA MASWALA YA NDOA
Je Waifahamu Ndoa?Usikose Kusikiliza Kipindi hichi.
Tabasamu Kajajini shule mpya yajengwa
By:Glory Mwagambo Wakazi wa eneo la Kajajini, mjini Malindi katika Kaunti ya Kilifi, wameonyesha furaha na kumpongeza Mbunge wa Malindi, Amina Mnyazi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi…
