Study exposes growing threats to environmental defenders in Northern Kenya
By:Betty Luke Minority Rights Group Africa Director Agnes Kabajuni (R) and Isiolo Gender Watch Executive Director Grace Lolim (L) join other Environmental Rights Defenders during the launch of a study…
Mwanga Wa Kilele |Habari Za Jioni|Kilele Viwanjani |Kilele Radio
Maji chafu yakera wakaazi Majengo Mombasa|Kenya Yaondoa Mfumo wa Vidole vya Wino |Muungano wa Magavana watoa Msimamo kuhusu Migomo |Nyali Yamuunga Mkono Amina
Kero la maji chafu Majengo Mombasa
Kilio cha uchafu wa majitaka kimeendelea kutawala maisha ya wakaazi wa Majengo jijini Mombasa, huku wakilalamikia hali ya mazingira inayoweka afya zao hatarini. Mashimo ya majitaka yamekuwa yakifurika na kumwaga…
Nairobi Kuwa na Reli ya Chini kwa Chini
Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, ametangaza mpango wa kujenga reli ya kwanza ya chini kwa chini katika Jiji la Nairobi, mradi unaolenga kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri wa…
Kenyans to get police clearance certificates in 24 hours, Murkomen says
Kenyans will now receive their police clearance certificates within 24 hours, Interior and National Administration Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has announced, cutting a wait that previously lasted up to two…
New elderly Center Restores Hope as Isiolo Senior Recounts Life Transformed By Charity
By:Betty Luke For years, 71-year-old Simon Ewoi of Shambani Village in Isiolo County worried about where his next meal would come from and how he would afford treatment whenever he…
Athletics Kenya Yazindua Kituo cha Kidijitali cha Wanariadha Ili Kuimarisha Usimamizi na Kurejesha Imani Duniani
By:Betty Luke Shirikisho la Riadhia la Kenya, Athletics Kenya, limezindua rasmi mfumo mpya wa kisasa ujulikanao kama Athlete Hub, ambao unalenga kubadilisha kabisa usimamizi wa riadha, kuimarisha maadili na kurejesha…
Magavana watoa Msimamo kuhusu Migomo
Baraza la Magavana limelaumu Wizara ya Afya kwa kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano, hali inayodaiwa kuchochea migomo ya wahudumu wa afya. Mwenyekiti wa Baraza hilo, Ahmed Abdullahi, amesema kaunti zitaanza kulipa…
Kenya Yaondoa Mfumo wa Vidole vya Wino
Serikali imeanza kuondoa mfumo wa zamani wa uchunguzi wa uhalifu uliotegemea alama za vidole kwa wino na karatasi, na kuanzisha Mfumo wa Kisasa wa Utambuzi wa Kibiometriki (MBIS) unaolenga kuimarisha…
