Walimu 20,000 wa JSS Wataajiriwa
Walimu elfu ishirini wataajiriwa na Tume ya Kuajiri Walimu nchini, TSC, kwa ajili ya kufundisha katika Shule za Junior, kama sehemu ya kuimarisha utekelezaji wa mfumo wa elimu wa Umahiri,…
NCCK yaonya wanasiasa dhidi ya kampeni makanisani
By:Robert Mutasi Baraza la Makanisa Nchini Kenya (NCCK) Ukanda wa Mashariki ya Juu limeonya vikali wanasiasa dhidi ya kugeuza nyumba za ibada kuwa uwanja wa kampeni za kisiasa, likiahidi kulinda…
Anti-Nuclear Demonstrations in Western Kenya End in 13 Arrests
Thirteen youths were arrested during overnight security operations in Lenya Kajohn Village, Central Sakwa, Siaya County, following protests against a proposed nuclear power plant, according to local activists. Residents opposed…
Wakulima wa miwa wapinga uagizaji sukari nje
By:Robert Mutasi Wakulima wa miwa Kusini mwa Nyanza wameitaka serikali kusitisha mara moja uagizaji wa sukari kutoka nje, wakisema hatua hiyo inazidi kudidimiza sekta ya miwa nchini. Wakulima hao wanasema…
Mwanga wa Kilele|Habari za Mchana|Kilele Radio
Kenya yavunja rekodi ya Guinness kwa kupanda mikoko 4,124 | Afisa wa DCI ajeruhiwa katika shambulizi Lamu | Daraja la Marere laharibika, tahadhari yatolewa | Watu 11 wakamatwa kwa mbolea…
Taharuki Lamu-Afisa wa DCI avamiwa
By:Farida Ali Hali ya taharuki ilitanda katika Kisiwa cha Lamu, Kaunti ya Lamu, baada ya afisa mmoja wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kujeruhiwa na kijana. Tukio…
Ukosefu wa fedha watatiza maendeleo ya KD United
By:Gloria Mwagambo Wito umetolewa kwa Serikali ya Kaunti ya Kilifi pamoja na wadau wa michezo na wahisani kujitokeza kusaidia kikundi cha vijana cha KD United kinachoshiriki mchezo wa mpira wa…
MORE SUSPECTS ARRESTED IN COUNTERFEIT FERTILISER CRACKDOWN IN UASIN GISHU
By:Robert Mutasi The Directorate of Criminal Investigations (DCI) has made a major breakthrough in the ongoing crackdown on a suspected counterfeit fertiliser syndicate, arresting more suspects and recovering thousands of…
Rashid Abdallah Super Cup yavutia maelfu Kwale
By:Hassan Pojjo Mashindano ya soka ya Rashid Abdallah Super Cup yanaendelea kushika kasi katika Kaunti ya Kwale huku makala yake ya saba yakivutia maelfu ya mashabiki kutokana na ushindani mkali…
