Busia Yakumbwa na Wimbi la Uhalifu
By:Robert Mutasi Wajumbe wa Bunge la Kaunti ya Busia wameibua wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama katika maeneo mbalimbali kaunti hiyo, huku wakiwataka wananchi kufanya kazi…
Mashindano ya Baiskeli Kutikisa Kilifi
By:Alii Vincent Mashindano ya kimataifa ya baiskeli ya LOOP Safari Gravel Series yatarejea nchini baadaye mwezi huu kwa mchujo wa tatu utakaofanyika Jumamosi, Agosti 29, katika Vipingo Ridge, Kaunti ya…
Moto Wateketeza Bweni la Madrasa Msambweni
By:Athuman Luchi voiced by Farida Ali Bweni la wanafunzi katika Markaz Al Abraar Islamic Centre, iliyoko eneo la Milalani, Msambweni, Kaunti ya Kwale, limeteketea kwa moto na kuungua kabisa. Kwa…
Wakaazi wa Jomvu kupapat vyeti vya mashamba
By:Hassan Pojjo Huku suala la ardhi likiwa donda sugu katika maeneo mengi ya ukanda wa Pwani wakaazi wa eneo bunge la Jomvu wanaendelea kupewa hamasa na viongozi wao. Katika juhudu…
NDUNE MUNGA AAHIDI KUIMARISHA SOKA NA VIPAJI VYA VIJANA KISURUTINI
By:Hassan Pojjo Kiongozi wa kisiasa wa Wadi ya Kisurutini, Ndune Munga, ameendelea kuonyesha dhamira yake ya kuwekeza katika maendeleo ya vijana kupitia michezo, akisisitiza kuwa soka ni moja ya nyenzo…
Familia 2,000 Zaguswa na Mradi wa Soko
By:Hassan Pojjo Wafanyabiashara wa Soko la Kongowea Ndogo, Kaunti ya Mombasa, wametaka kushirikishwa kikamilifu katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa soko la kisasa unaofadhiliwa na Serikali ya Kitaifa kwa…
Safaricom Yazindua Pata More
By:Robert Mutasi Kampuni ya Safaricom imezindua kampeni mpya ya kitaifa ya “Pata More”, inayowalenga wateja wake kwa kuwapa data zaidi, ofa za biashara na huduma nyingine zenye thamani kubwa zaidi…
Shule Yapigiwa Debe Kukuza Utamaduni
By:Hassan Pojjo Shule mbalimbali nchini zimetakiwa kuendelea kuwekeza katika shughuli za utamaduni na sanaa ili kuwasaidia wanafunzi kuhifadhi mila na desturi za jamii zao, sambamba na kukuza vipaji vinavyoweza kuwafungulia…
Madrid Queens, Okota Starlets Zapigana Sare Tasa
By:Hassan Pojjo Madrid Queens na Okota Starlets zimetoshana nguvu kwa sare ya bila kufungana (0-0) katika mechi ya kusisimua ya Ligi ya Wanawake ya Mombasa iliyochezwa kwenye Uwanja wa Mbuzi,…
