Maelfu Wanufaika na Huduma Mashinani Uwanja wa Tononoka Mombasa

Maelfu ya wakaazi wa Mombasa wamejitokeza katika uwanja wa Tononoka kunufaika na huduma mashinani zilizoandaliwa na Wakfu wa Lulu la Jamii kwa ushirikiano na Huduma Center, wakieleza kuridhishwa na hatua hiyo kwani imepunguza muda na gharama za kupata huduma kama vyeti vya kuzaliwa, vitambulisho, good conduct na huduma za afya. Mwanzilishi wa wakfu huo, Lulu

Maelfu Wanufaika na Huduma Mashinani Uwanja wa Tononoka Mombasa Read More »

Mahakama Yaeleza Mamlaka ya Majaji, Wakaazi Walalamikia Dhulma Dhidi ya Watoto Mariakani

Idara ya mahakama imesisitiza kuwa sheria inawapa majaji mamlaka ya kutoa uamuzi mbadala tofauti na adhabu zilizopendekezwa kisheria, huku hakimu mkuu wa mahakama ya Mariakani Kimani Mburu akieleza kuwa kutoeleweka huku kumesababisha wananchi kushangaa hukumu nyepesi au dhamana kwa baadhi ya washukiwa, na akawahimiza wakaazi kutembelea mahakama kupata ufafanuzi wa kisheria. wakati huo huo wakaazi

Mahakama Yaeleza Mamlaka ya Majaji, Wakaazi Walalamikia Dhulma Dhidi ya Watoto Mariakani Read More »

Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii Jomvu Watarajiwa Kuimarisha Uchumi na Utalii

Shughuli za kiuchumi na utalii zinatarajiwa kuimarika kufuatia ujenzi wa hoteli ya kitalii katika eneo la Jomvu Ganahola na shirika la kijamii la Bigship. Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib,akizungumza alipozuru eneo hilo amesema atahakikisha eneo hilo linapata barabara bora huku akibainisha kuwa hoteli hiyo itaongeza ajira, kuimarisha uvuvi na kuinua uchumi wa eneo hilo.

Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii Jomvu Watarajiwa Kuimarisha Uchumi na Utalii Read More »

madereva waandamana jomvu,kuulaani msongamano wa matrela

Wakaazi wa Jomvu na wafanya biashara wanalalamikia msongamano wa malori Unao shuhudiwa kwenye barabara ya Madafuni na Jomvu mikanjuni. Wakizungumza na wanahabari wamedai kwamba barabara hiyo huwa na msongamano mkubwa ambao hutatiza watoto wa shule na wale wanao kimbuzwa kwenye hospitali ilioko katika eneo hilo. Wameomba uongozi uliopo katika eneo hilo kujitahidi na kuona kwamba

madereva waandamana jomvu,kuulaani msongamano wa matrela Read More »