Zamani nilisomewa hata ujumbe kutoka kwa mume wangu! Asante WFP
Nilikuwa nikipokea barua naomba mtu anisomee, sasa nasoma mwenyewe, lakini naomba WFP ituendeleze zaidi niweze hata kuandika barua ya kuomba kazi. Ni Espérance Bialogire, mkimbizi aliyenufaika na mradi wa shirika…
