WAZAZI WASIOPELEKA WATOTO SHULE RABAI CHAO KIMOTONI
Wazazi watakaokiuka agizo la Rais la kuwapeleka watoto wao kujiunga na shule za sekondari za juu katika eneo la Rabai huenda wakashtakiwa kwa kosa la kutelekeza watoto. Kwa mujibu wa…
Kilele cha Maendeleo
Wazazi watakaokiuka agizo la Rais la kuwapeleka watoto wao kujiunga na shule za sekondari za juu katika eneo la Rabai huenda wakashtakiwa kwa kosa la kutelekeza watoto. Kwa mujibu wa…
Wakaazi wa eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kama wapiga kura kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2027.Akizungumza baada ya kukutana na jamii ya…
Shirikisho la kandanda humu nchini tawi la mombasa limepongeza hatua ya rais wiliam ruto kuingilia kati katika kuhakikisha ujenzi uwanja wa mombasa stadium unakamilika.
Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib, amesisitiza kuwa chama cha ODM bado kiko imara, licha ya kuondokewa na kinara wake.Akizungumza na wanahabari, Badi amesema viongozi wa chama hicho wako mbioni kuhakikisha…
Maelfu ya wakaazi wa Mombasa wamejitokeza katika uwanja wa Tononoka kunufaika na huduma mashinani zilizoandaliwa na Wakfu wa Lulu la Jamii kwa ushirikiano na Huduma Center, wakieleza kuridhishwa na hatua…
Idara ya mahakama imesisitiza kuwa sheria inawapa majaji mamlaka ya kutoa uamuzi mbadala tofauti na adhabu zilizopendekezwa kisheria, huku hakimu mkuu wa mahakama ya Mariakani Kimani Mburu akieleza kuwa kutoeleweka…
Shughuli za kiuchumi na utalii zinatarajiwa kuimarika kufuatia ujenzi wa hoteli ya kitalii katika eneo la Jomvu Ganahola na shirika la kijamii la Bigship. Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib,akizungumza alipozuru…
Wakaazi wa Jomvu na wafanya biashara wanalalamikia msongamano wa malori Unao shuhudiwa kwenye barabara ya Madafuni na Jomvu mikanjuni. Wakizungumza na wanahabari wamedai kwamba barabara hiyo huwa na msongamano mkubwa…
Kadzo Catherine Ni Mwenye Tabasamu Baada Ya Mbunge Wa Jomvu Badi Twalib Kuingilia Kati Na Kufufua Ndoto Yake Ya Kujiunga Na Shule Ya Upili Ya Mama Ngina. Hii Ni Baada…