WANAODAI KUPOTEZA SEHEMU NYETI KUKAMATWA MOMBASA
Idara ya Usalama katika Kaunti ya Mombasa imepuuzilia mbali uvumi kuhusu kupotea kwa sehemu za siri za wanaume, ikisema madai hayo si ya kweli. Akizungumza kwa niaba ya idara hiyo,…
Idara ya Usalama katika Kaunti ya Mombasa imepuuzilia mbali uvumi kuhusu kupotea kwa sehemu za siri za wanaume, ikisema madai hayo si ya kweli. Akizungumza kwa niaba ya idara hiyo,…
Kijana mmoja wa makamo ameuawa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Marikiti baada ya kushukiwa kuhusika katika tukio la kuchukua sehemu za siri za mwanaume mwingine katika…
https://youtu.be/ysOm3cTsAr4
Wizara ya Uchukuzi ya Kaunti ya Mombasa imelaumiwa kwa madai ya kutoshirikiana na Muungano wa Waendeshaji wa Boda Boda katika zoezi la kuwasajili waendeshaji wote wa boda boda kaunti hiyo.…
As Kenya marked the Day of the African Child, one spoken word artist took the commemoration beyond speeches and ceremonies, transforming a moving bus into a stage to raise awareness…
Mombasa Press Club Chairman Omar Abdallah, popularly known as Ommy Dallah, has called on journalists to break the culture of silence and seek help whenever they experience emotional distress or…
Ujenzi wa Daraja la Mwache katika kaunti ya Kwale umefikia asilimia 83 ya ukamilishaji, huku serikali ikieleza kuwa mradi huo utaimarisha upatikanaji wa maji kwa wakazi wa Kwale na Mombasa.…
https://youtu.be/sxpV7rYROaA