Serikali Yaongeza Siku 30 za Operesheni Marsabit
Serikali imeongeza kwa siku 30 muda wa utekelezaji wa oparesheni za usalama katika baadhi ya maeneo ya Kaunti ya Marsabit, kufuatia hali inayoendelea ya ukosefu wa usalama. Kupitia Gazeti Rasmi…
Serikali imeongeza kwa siku 30 muda wa utekelezaji wa oparesheni za usalama katika baadhi ya maeneo ya Kaunti ya Marsabit, kufuatia hali inayoendelea ya ukosefu wa usalama. Kupitia Gazeti Rasmi…
Rais William Ruto pamoja na Mawaziri wa Baraza la Mawaziri wamefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa mashirika mbalimbali ya umma, kupitia uteuzi na uteuzi upya wa wenyeviti na wajumbe wa…
By:Betty Luke DNA analysis has confirmed that human remains recovered in a thicket near Uhuru Primary School in Isiolo belong to George Gitonga, a trader who went missing in May…
By:Alii Vincent Kenya inatarajia kuweka historia duniani Jumapili kwa kujaribu kuvunja rekodi ya Guinness World Records kupitia zoezi la kupanda miche 5,000 ya mikoko ndani ya saa moja. Jaribio hilo…
Sekta ya afya yakabiliwa na mgomo mpya |Kingi alaumu migawanyiko ya viongozi wa Pwani |Waathiriwa wa ufadhili wa Finland wadai fedha zao |Vipaji vya soka kung’ara Changamwe
Muungano wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umetoa notisi ya siku saba ya mgomo, ukisema wanachama wake wataacha kutoa huduma katika hospitali zote za kaunti endapo serikali haitatekeleza matakwa yao.…
By:Robert Mutasi Parents and students affected by the Sh1 billion Finland education program in Uasin Gishu County have taken to the streets of Eldoret to demand refunds a day after…
By:Hassan Pojjo Wazazi na walezi wa wachezaji wa Chaani Youth chini ya umri wa miaka 14 (Under-14) wametakiwa kuhakikisha watoto wao wanahudhuria mechi ya kirafiki itakayochezwa Jumapili, Julai 26, 2026,…
Habari Za Kimataifa Kutoka kwa Idha ya Umoja wa Kimataifa
Spika wa Seneti, Amason Kingi, amesema ukosefu wa umoja miongoni mwa viongozi wa Pwani, hasa wakati wa uchaguzi, umechangia kuchelewesha maendeleo ya ukanda huo na kudhoofisha ushawishi wake katika siasa…