Wizara ya Kilimo yataka Bunge kuharakisha miswada ya kilimo
By:Robert Mutasi Wizara ya Kilimo na Maendeleo ya Mifugo imeitaka Bunge kuharakisha kupitishwa kwa miswada muhimu ya kilimo na marekebisho yake, ikisema hatua hiyo ni ya msingi katika kuimarisha usalama…
Politicians Warned Against Mobilizing Goons to Cause Chaos – Nairobi RC Onyancha Says Days Are Numbered
By:Robert Mutasi Nairobi Regional Commissioner Rhoda Onyancha has issued a stern warning to a section of politicians accused of mobilizing goons to cause chaos and loot property, saying their days…
Mzozo wa Ardhi Watikisa Kwale
By:Alii Vincent Zaidi ya familia 200 katika kijiji cha Mkwakwani, eneo bunge la Msambweni, Kaunti ya Kwale, zimeanzisha mapambano ya kisheria kudai umiliki wa ardhi ya ekari 53 wanayodai ilinyakuliwa…
Mwanga wa Kilele|Habari za Jioni|Kilele Radio
Wiper yamtaka Duale ajiuzulu |Serikali kuzindua kituo cha ambulansi |Boda boda wahimizwa usalama barabarani | Mwinjilisti apata kiti cha umeme |Morocco yaifunga Starlets 4-0
Junda United yaichapa Coast United mabao 2-0
By:Hassan Pojjo Junda United imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coast United katika mechi ya Ligi ya FKF Mombasa County, na kujikusanyia alama tatu muhimu huku Coast United…
Harambee Starlets yachapwa 4-0 na Morocco
By:Hassan Pojjo Harambee Starlets imeanza kwa mguu mbaya kampeni yake ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (AWCON 2026) baada ya kuchapwa mabao 4-0 na wenyeji Morocco katika mchezo…
Mwinjilisti Mwenye Ulemavu Apokea Kiti cha umeme
By:Robert Mutasi Mwinjilisti Richard Nyamunyamu kutoka Kaunti ya Nyamira amepokea kiti cha magurudumu kinachoendeshwa kwa umeme baada ya video yake akiimba pamoja na binti yake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.…
Serikali kuzindua Kituo cha Kitaifa cha Ambulansi
By:Farida Ali Serikali inatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kitaifa cha Kuratibu Huduma za Ambulansi wiki ijayo, hatua inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za dharura nchini. Kituo hicho…
