Loglogo set to host thousands for Rendille Food and Cultural Festival
By:Betty Luke A Rendille Woman infront of a traditional hut at the community’s cultural center in Loglogo, Marsabit County. PHOTO/Kilele Media Production For generations, the Cushitic-speaking Rendille community has safeguarded…
Badi:Majengo Yazingatie Haki za Walemavu
By:Hassan Pojjo Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib, ameitaka serikali kuimarisha utekelezaji wa viwango vya upatikanaji wa huduma katika majengo ya umma na ya kibiashara nchini ili kuhakikisha watu wanaoishi na…
EACC Yarejesha Mali ya Umma ya Sh100M
By:Alii Vincent Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imerejesha mali za umma zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100 baada ya kushinda kesi mbili za unyakuzi wa…
Mwanga wa Kilele | Habari za Jioni | Kilele Radio
Aisha Jumwa Ajiondoa UDA|Pombe Inayoshukiwa Kuwa Bandia Yakamatwa Kericho|Wazee Wataka Amani Kuelekea 2027|Shule Ya Rabai Kupata Kisima Cha Maji|Huduma Za Afya Zasitishwa Homa Bay|Skills Mtaani Yarejea Mombasa
ST. CHARLES LWANGA YATWAA UBINGWA
By:Hassan Pojjo Shule ya St. Charles Lwanga imeibuka mabingwa wa mashindano hayo baada ya kuonyesha kiwango cha juu cha ushindani, nidhamu na uchezaji bora. Ushindi huo umechangiwa na juhudi za…
SKILLS MTAANI YAREJEA MOMBASA
By:Farida Ali Ukurasa mpya wa uwezeshaji vijana umeanza kuandikwa jijini Mombasa, baada ya Serikali ya Kaunti kusajili zaidi ya taasisi 400 za mafunzo ya ufundi chini ya mpango wa Elimu…
AISHA JUMWA AJIONDOA UDA
By:Hassan Pojjo Aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma, Aisha Jumwa, ametangaza kujiondoa rasmi katika Chama cha United Democratic Alliance, UDA, hatua inayotarajiwa kuathiri siasa za Pwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa…
WANAFUNZI WA RABAI KUPATA MAJI SAFI
By:Hassan Pojjo Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Rabai wanatarajiwa kupata nafuu ya upatikanaji wa maji baada ya Mbunge wa Rabai, Antony Kenga Mupe, kuzindua rasmi mradi wa kisima cha…
Wazee wa Kikuyu wa Molo Watoa Wito wa Kuishi kwa Amani Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027
By:Robert Mutasi Wazee wa jamii ya Wakikuyu katika eneo la Molo, Kaunti ya Nakuru, wametoa wito wa amani na mshikamano miongoni mwa jamii mbalimbali nchini, taifa linapoelekea Uchaguzi Mkuu wa…
