Maelfu Wanufaika na Huduma Mashinani Uwanja wa Tononoka Mombasa
Maelfu ya wakaazi wa Mombasa wamejitokeza katika uwanja wa Tononoka kunufaika na huduma mashinani zilizoandaliwa na Wakfu wa Lulu la Jamii kwa ushirikiano na Huduma Center, wakieleza kuridhishwa na hatua…
Mahakama Yaeleza Mamlaka ya Majaji, Wakaazi Walalamikia Dhulma Dhidi ya Watoto Mariakani
Idara ya mahakama imesisitiza kuwa sheria inawapa majaji mamlaka ya kutoa uamuzi mbadala tofauti na adhabu zilizopendekezwa kisheria, huku hakimu mkuu wa mahakama ya Mariakani Kimani Mburu akieleza kuwa kutoeleweka…
madereva waandamana jomvu,kuulaani msongamano wa matrela
Wakaazi wa Jomvu na wafanya biashara wanalalamikia msongamano wa malori Unao shuhudiwa kwenye barabara ya Madafuni na Jomvu mikanjuni. Wakizungumza na wanahabari wamedai kwamba barabara hiyo huwa na msongamano mkubwa…
WAHUBIRI WAKUTANA NA GAVANA WA mOMBASA ABDULSWAMAD
WAHUBIRI NA MAPASTA KUTOKA MAKANISA MBALI MBALI JIJINI MOMBASA WAMEFANYA KIKAO NA GAVANA ABDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AMBAPO WAMEJADILI MASWALA MBALI MBALI YANAYOWAKABILI.KIKAO HICHO KIMEFANYIKA ENEO LA KIEMBENI.
No Child left behind asema Gavana wa Mombasa
Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, ameendeleza juhudi za kuhakikisha watoto kutoka familia zisizojiweza wanapata elimu bila vikwazo kwa kulipia ada za shule kwa wanafunzi kadhaa. Katika hotuba yake, Gavana…
“Coca-Cola Launches ‘Funua Flava’ Cash Bonanza IN MOMBASA”
Coca-Cola has officially launched a customer reward campaign known as Funua Flava Pata Mita in Mombasa city. As part of this campaign, customers will have the opportunity to win one…
Youths Urged to Train as Lifeguards to Help Prevent Drownings
Local leaders and safety experts are calling on young people to take up lifeguard training as a proactive step to reduce cases of drowning along the Coast. With rising numbers…
Wezi wa Simu Wakamatwa Mombasa Katika Msako Mkali
Polisi wamefanikiwa kuwakamata washukiwa kadhaa wa wizi wa simu za rununu katika msako maalum uliofanyika katikati mwa jiji la Mombasa. Washukiwa hao walinaswa baada ya malalamiko kutoka kwa wakazi walioporwa…
Over 3,000 Mombasa Residents Receive National IDs in Landmark Initiative
More than 3,000 residents of Mombasa received their long-awaited National Identity Cards at Treasury Square in a major milestone achieved through a successful partnership between the National Government and the…
