Wezi wa Simu Wakamatwa Mombasa Katika Msako Mkali

Share this to

Polisi wamefanikiwa kuwakamata washukiwa kadhaa wa wizi wa simu za rununu katika msako maalum uliofanyika katikati mwa jiji la Mombasa.

Washukiwa hao walinaswa baada ya malalamiko kutoka kwa wakazi walioporwa simu zao katika maeneo ya biashara yenye msongamano mkubwa. Polisi wanasema simu kadhaa zilizoripotiwa kuibiwa zimepatikana na zinarejeshwa kwa wamiliki wake halali.


Share this to

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *