JOMVU: KARISA NZAI AAHIDI KUSUKUMA MALIPO YA FIDIA
By:Hassan Pojjo Mgombea wa Ubunge wa Jomvu, Karisa Nzai Munyika, amekutana na wakazi wa eneo la Maganda walioathiriwa na mradi wa Reli ya Kisasa (MGR), ambapo alisikiliza malalamiko yao kuhusu…
MDUARA WA TAARAB
Kipindi cha Taarab,mapishi na vidokezo vya urembo,unaweza pia tuma salam zako kwa marafiki.
MWANAFUNZI WA GREDI YA TISA AANDIKA HISTORIA KAMA REFA MDOGO ZAIDI MOMBASA
By:Hassan Pojjo Mwanafunzi wa Gredi ya Tisa katika JCC Academy Likoni, Enock Musili, ameandika historia baada ya kutambuliwa kuwa mwamuzi (refa) mchanga zaidi katika Kaunti ya Mombasa, hatua inayodhihirisha ukuaji…
IRI YAIMARISHA UWEZO WA VIJANA KATIKA UTAWALA BORA
By:Hassan Pojjo Mwenyekiti wa Kundi la Vijana la International Republican Institute (IRI) Mombasa, Hassan Mbangwe, ameongoza ujumbe wa vijana kutoka Kaunti ya Mombasa kushiriki kikao cha siku mbili cha mafunzo…
NAIBU GAVANA THOYA AKAMILISHA SAFARI YA BAISKELI YA KILOMITA 113
By:Hassan Pojjo Naibu Gavana wa Kaunti ya Mombasa, Francis Foleni Thoya, amefanikiwa kukamilisha safari ya baiskeli ya kilomita 113 kutoka Mombasa hadi Kaloleni na kurejea, akieleza kuwa ilikuwa safari ya…
SAKA AFUNGA HAT-TRICK, ENGLAND YATWAA NAFASI YA TATU KOMBE LA DUNIA
By:Hassan Pojjo Nyota wa Arsenal Bukayo Saka ameiongoza England kutwaa nafasi ya tatu katika Kombe la Dunia la FIFA baada ya kuichapa Ufaransa mabao 6-4. Saka aling’ara kwa kufunga hat-trick,…
ABAYO INTENSIFIES GRASSROOTS SENATE CAMPAIGN
By:Athuman Luchi Mombasa senatorial aspirant Victor Abayo has intensified his grassroots political engagement with a high-level consultative meeting involving opinion leaders from Tudor Ward in Mvita Constituency, as competition for…
KPA RECORDS ANOTHER MILESTONE
By:Athuman Luchi Kenya Ports Authority has recorded another milestone following the attainment of two new international certifications that reinforce its commitment to environmental management and workplace safety across its port…
PWANI YOUTH NETWORK KUWAKILISHA PWANI KATIKA KONGAMANO LA KIMATAIFA
By:Hassan Pojjo Afisa Mtendaji Mkuu wa Pwani Youth Network, Alfred Sigo, anatarajiwa kushiriki Kongamano la Kimataifa la The NextBeat 2026 litakaloandaliwa na Segal Family Foundation jijini Nairobi. Kongamano hilo litawakutanisha…
ISIOLO ELDERS CALL FOR IMMEDIATE SUSPENSION OF MAGADO POLICE CAMP; CITE LAND DISPUTE
By: Betty Luke A section of elders from Isiolo County have protested the establishment and inauguration of the 600-acre Magado Police Training Camp, accusing the government of violating court processes…
