KARISA AAHIDI SULUHISHO LA MAJI JOMVU
By:Hassan Pojjo Tatizo la maji limeendelea kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Jomvu, huku mwanasiasa anayewania ubunge wa eneo hilo, Karisa Nzai Munyika, akisema juhudi za kupata suluhisho la kudumu…
SIASA ZA UKABILA ZAKOSOLEWA KILIFI
By:Alii Vincent Siasa za ukabila zimeendelea kuzua mjadala katika Kaunti ya Kilifi huku joto la kisiasa likiongezeka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, viongozi kutoka Eneo Bunge la Rabai wakionya dhidi…
NCCK YAONYA DHIDI YA SIASA ZA FEDHA
By:Alii Vincent Huku joto la Uchaguzi Mkuu wa 2027 likizidi kupanda, viongozi wa dini chini ya mwavuli wa Baraza la Makanisa Nchini (NCCK) wameonya dhidi ya matumizi ya fedha na…
WAKAZI WA KALIANG’OMBE WADAI FIDIA YA ATHARI ZA MILIPUKO YA BARUTI
By:Alii Vincent Wakazi wa Kaliang’ombe katika eneo bunge la Rabai, Kaunti ya Kilifi, wameitaka serikali kuharakisha mchakato wa fidia kwa wananchi wanaodai kuathiriwa na milipuko ya baruti inayotumiwa na kampuni…
KENYA–US MINERALS DEAL FACES COURT CHALLENGE
By:Athuman Luchi Kenya’s High Court in Kwale has scheduled July 29 for the mention of a petition seeking to stop a proposed agreement between the Kenyan government and the United…
ZAIDI YA VITAMBULISHO 1,500 HAVIJACHUKULIWA JOMVU
By:Alii Vincent Zaidi ya vitambulisho 1,500 bado havijachukuliwa katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, huku wakazi wakihimizwa kujitokeza kuvichukua pamoja na kadi zao za wapiga kura ili kujitayarisha mapema…
KJS FC YAENDELEZA REKODI NZURI KOMBE LA FREDERICK MULI
By:Hassan Pojjo Klabu ya KJS FC imeendelea kuonyesha kiwango bora katika mashindano ya soka ya kuwania Kombe la Frederick Muli yanayoendelea katika Wadi ya Nguutani, eneo la Mwingi West, Kaunti…
JOMVU YAANZA MCHAKATO WA MIRADI MPYA
By:Hassan Pojjo Wakazi wa Wadi ya Miritini, katika Eneo Bunge la Jomvu, wamejitokeza kwa wingi kushiriki kikao cha ushirikishwaji wa umma kilicholenga kukusanya maoni kuhusu miradi ya maendeleo itakayofadhiliwa kupitia…
