MWANGA WA KILELE-7PM BULLETIN
Taarifa kuu zilizogonga Vichwa Vya Habarini nchini.
MWANAKOMBO BAKARI AZIDI KUNG’ARA KATIKA JUNIOR STARLETS
By:Hassan Pojjo Kiungo wa timu ya taifa ya wasichana chini ya miaka 17, Junior Starlets, Mwanakombo Bakari, anaendelea kung’ara na kujizolea sifa kutokana na kiwango chake bora cha uchezaji. Mwanakombo…
MBUNGE BADI TWALIB ASEMA MAONI YA WANANCHI YATAONGOZA MATUMIZI YA NG-CDF
By:Hassan Pojjo Wananchi wa Wadi ya Jomvu Kuu wamejitokeza kwa wingi kushiriki kikao cha ushirikishwaji wa umma kuhusu upangaji wa miradi ya maendeleo itakayofadhiliwa kupitia Hazina ya Maendeleo ya Maeneo…
POLICE UNCOVER INTERNATIONAL DRUG NETWORK
By:Farida Ali A multi-agency security operation has intensified the fight against international drug trafficking along Kenya’s Coast following the arrest of a suspected drug courier at Moi International Airport in…
ISIOLO RESIDENTS BACK NG-CDF INCREASE, CITE PRUDENT USE IN THE CONSTITUENCY
By:Betty Luke A section of residents from Isiolo North constituency have expressed optimism following the government’s announcement of an increase to the National Government Constituency Development Fund (NG-CDF), saying the…
WAKAZI MALINDI WAPINGA MATUSI YA KISIASA
By:Glory Mwagambo Wakazi wa Malindi katika Kaunti ya Kilifi wamekemea vikali matumizi ya lugha ya matusi na kejeli miongoni mwa viongozi wa kisiasa wakati huu wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu.…
