No Child left behind asema Gavana wa Mombasa
Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, ameendeleza juhudi za kuhakikisha watoto kutoka familia zisizojiweza wanapata elimu bila vikwazo kwa kulipia ada za shule kwa wanafunzi kadhaa. Katika hotuba yake, Gavana…
