GEN-Z WA TUM MOMBASA KUTOSHIRIKI MAANDAMANO
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mombasa Tum wameweka wazi kutoshiriki katika maadamano ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki wakati wa maadamano ya kupinga mswaada wa fedha wa mwaka 2024/2025. Ikiwa…
Kilele cha Maendeleo
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mombasa Tum wameweka wazi kutoshiriki katika maadamano ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki wakati wa maadamano ya kupinga mswaada wa fedha wa mwaka 2024/2025. Ikiwa…
idara ya polisi kaunti ya Mombasa imewaonya waandamanaji watakaovamia na kuharibu mali ya umma katika maandamano ya hapo kesho ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki wakipinga mswaada wa fedha wa…
Vijana wametakiwa kuepuka uvunjaji wa sheria na vitendo vya uhalifu wakati wa maandamano yatakayofanyika kesho ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki katika maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa mwaka…
As the world observed International Widows Day, Nyali MP aspirant Elkana Jacob made a bold and far-reaching commitment to place widows at the center of his development agenda, promising greater…
Idara ya Usalama katika Kaunti ya Mombasa imepuuzilia mbali uvumi kuhusu kupotea kwa sehemu za siri za wanaume, ikisema madai hayo si ya kweli. Ikiwa zimesalia siku mbili kabla ya…
Ikiwa zimesalia siku mbili kabla ya maandamano ya vijana wa Gen Z ya kuwakumbuka wenzao waliofariki wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa 2024/2025, serikali imetakiwa kuhakikisha usalama…
Kijana mmoja wa makamo ameuawa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Marikiti baada ya kushukiwa kuhusika katika tukio la kuchukua sehemu za siri za mwanaume mwingine katika…
Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib, amesisitiza kuwa chama cha ODM bado kiko imara, licha ya kuondokewa na kinara wake.Akizungumza na wanahabari, Badi amesema viongozi wa chama hicho wako mbioni kuhakikisha…