Share this to

Ikiwa zimesalia siku mbili kabla ya maandamano ya vijana wa Gen Z ya kuwakumbuka wenzao waliofariki wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa 2024/2025, serikali imetakiwa kuhakikisha usalama wa kutosha na kuepuka matumizi ya nguvu.

Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka shirika la Muhuri, Francis Auma, amesema madai kuwa vijana hao watasababisha vurugu hayana msingi.

Auma amewataka polisi kuwachukulia hatua wale watakaoharibu mali ya umma au kuzua vurugu wakati wa maandamano hayo.


Share this to

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *