
idara ya polisi kaunti ya Mombasa imewaonya waandamanaji watakaovamia na kuharibu mali ya umma katika maandamano ya hapo kesho ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki wakipinga mswaada wa fedha wa mwaka 2024/2025.Kwa taarifa hii na mengi zaidi usikose kusikiliza na kuchangia katika taarifa zetu
