Majonzi Ndatani: Ndovu Waua Mtoto, Wakazi Walia Kukosa Haki na Ulinzi
Wakazi katika eneo la Ndatani wametoa wito kwa serikali ya kitaifa na serikali ya kaunti ya Kilifi kujengewa uzio wa umeme kwa dharura kuzuia ndovu na wanyama wa porini wanaohangaisha maisha yao mara kwa mara. Wakizungumza na waandishi wa habari katika Kaunti ya Kilifi wakazi hao aidha wametaka afisa wa wanyama pori kuongeza doria na […]
Majonzi Ndatani: Ndovu Waua Mtoto, Wakazi Walia Kukosa Haki na Ulinzi Read More »










