TOWN CITY YAICHAPA MTT MEDICAL 3-1
By:Hassan Pojjo Town City FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya MTT Medical katika mechi ya Ligi ya Kaunti ya Taita Taveta, na kujiwekea mazingira mazuri katika mbio…
KARISA AAHIDI SULUHISHO LA MAJI JOMVU
By:Hassan Pojjo Tatizo la maji limeendelea kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Jomvu, huku mwanasiasa anayewania ubunge wa eneo hilo, Karisa Nzai Munyika, akisema juhudi za kupata suluhisho la kudumu…
SIASA ZA UKABILA ZAKOSOLEWA KILIFI
By:Alii Vincent Siasa za ukabila zimeendelea kuzua mjadala katika Kaunti ya Kilifi huku joto la kisiasa likiongezeka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, viongozi kutoka Eneo Bunge la Rabai wakionya dhidi…
NCCK YAONYA DHIDI YA SIASA ZA FEDHA
By:Alii Vincent Huku joto la Uchaguzi Mkuu wa 2027 likizidi kupanda, viongozi wa dini chini ya mwavuli wa Baraza la Makanisa Nchini (NCCK) wameonya dhidi ya matumizi ya fedha na…
WAKAZI WA KALIANG’OMBE WADAI FIDIA YA ATHARI ZA MILIPUKO YA BARUTI
By:Alii Vincent Wakazi wa Kaliang’ombe katika eneo bunge la Rabai, Kaunti ya Kilifi, wameitaka serikali kuharakisha mchakato wa fidia kwa wananchi wanaodai kuathiriwa na milipuko ya baruti inayotumiwa na kampuni…
KENYA–US MINERALS DEAL FACES COURT CHALLENGE
By:Athuman Luchi Kenya’s High Court in Kwale has scheduled July 29 for the mention of a petition seeking to stop a proposed agreement between the Kenyan government and the United…
ZAIDI YA VITAMBULISHO 1,500 HAVIJACHUKULIWA JOMVU
By:Alii Vincent Zaidi ya vitambulisho 1,500 bado havijachukuliwa katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, huku wakazi wakihimizwa kujitokeza kuvichukua pamoja na kadi zao za wapiga kura ili kujitayarisha mapema…
