By:Teryan Mwadzaya
Je, wewe ni kijana Gen z au Millennium na unasoma katika chuo Cha Technical University of Mombasa ,jirani au mfanyi biashara karibu na chuo hicho?
Uchaguzi wa 2027 unakuja, na sauti ya Gen Z na Millennials ndio itaamua Kenya.
Kilele Media inafanya utafiti mfupi: Vijana mnaona demokrasia yetu vipi? Mnapanga nini 2027?
Jaza fomu yetu ya siri kwa link hii:
https://forms.gle/rK9t1WNtwUVtn1nw6
Ni ya dakika 2 tu. Maoni yako yatasaidia kuunda mustakabali wa Kenya.
Jaza leo
#Kenya2027 #GenZVote #KileleRadio
