NDMA MOVES TO RAISE SH130 MILLION TO CURB DROUGHT IN FOUR COUNTIES
By Betty Luke The National Drought Management Authority (NDMA) has launched a nationwide race to raise Sh130.8 million to curb water shortage in Laikipia, Samburu, Isiolo and Meru counties. NDMA…
Forever FC, Young Rovers na Staff Boyz zaibuka na ushindi muhimu.
By Hassan Pojo Mashindano ya Digital Kickoff Tournament, yanayofadhiliwa na Mheshimiwa Dkt. Omondi Obuya, yanaendelea kushika kasi huku yakishuhudia matokeo ya kushtua ambapo baadhi ya timu kubwa zimeangushwa na timu…
COAST UNITED NI MOTO WA KUOTEA MBALI
Coast United ilirejea kwenye makali yake baada ya matokeo mazuri katika michezo ya vijana na timu ya wakubwa. Mwenyekiti wa Mtwapa Premier League, Ali Nassir, amezipongeza timu zinazoshiriki ligi hiyo…
Finding Strength Together – Isiolo Women Rewrite Their Wellness Through Exercise
/ By Betty Luke When everyone else is winding up a long day on a Monday evening, a different kind of transformation unfolds at the Isiolo Stadium field. Women aged…
Majaoni Young Star, Bomani FC Wang’ara Mtwapa Premier League
Ngarambe za Mtwapa Premier League zinaendelea kushika kasi katika viwanja mbalimbali, huku timu zikionyesha ushindani mkali katika harakati za kusaka alama muhimu na kuboresha nafasi zao kwenye msimamo wa ligi.…
Kwale Learners Mark Read Aloud Event with Sports Activities
Learners from schools across Kwale County combined literacy and fun as they participated in sports activities during the Read Aloud event held to celebrate National Reading Day. The event brought…
Kwale Learners Join Nationwide Read Aloud Event
Grade 4–9 learners in mazera Kwale county took part in a nationwide Read Aloud event to celebrate National Reading Day, reading the same passage simultaneously. This year’s theme, “Human–Wildlife Coexistence,”…
Vijana wa Kaloleni Wahimizwa Kuchangamkia Fursa za Serikali
Zaidi ya vijana 300 kutoka kata ndogo ya Kaloleni, katika eneo bunge la Kaloleni, wamekutana katika mkutano wa uongozi wa vijana uliofanyika Mariakani, kwa lengo la kujadili nafasi ya vijana…
Sekta ya ujenzi na miundombinu Mombasa yapata msukumo kupitia mafunzo ya PropelA
Sekta ya ujenzi na miundombinu katika Kaunti ya Mombasa imepata msukumo mpya baada ya kuzinduliwa rasmi kwa mafunzo ya ujuzi kupitia mfumo wa PropelA, unaolenga kuwapa vijana stadi zinazohitajika katika…
