
Coast United ilirejea kwenye makali yake baada ya matokeo mazuri katika michezo ya vijana na timu ya wakubwa. Mwenyekiti wa Mtwapa Premier League, Ali Nassir, amezipongeza timu zinazoshiriki ligi hiyo kwa kudumisha nidhamu, akisema hatua hiyo itasaidia kuinua kiwango cha soka eneo hilo. Simba Sports Club inaendelea kusalia miongoni mwa vilabu vikongwe na vyenye mafanikio makubwa.
