Kombani Girls waichapa St. John’s Girls mabao 2-0
Michuano ya Digital Kickoff Tournament makala ya pili yanaendelea kuwa tamu huku mchezo wa pili wa mashindano hayo ukitoa ushindani mkubwa na burudani ya hali ya juu kwa mashabiki wa…
ELKANA JACOB FOOTBALL TOURNAMENT KUANZA RASMI NYALI
Mashindano ya soka yanayodhaminiwa na Elkana Jacob, yanayolenga kuibua vipaji vya vijana, kuhamasisha amani na kuimarisha mshikamano katika eneo la Nyali, yanatarajiwa kuanza rasmi hivi karibuni. Mashindano hayo yatakayoshirikisha timu…
MWANGA WA KILELE||HABARI NA MATUKIO
Summer Tides Malindi yazua mjadala kuhusu maadili ya jamii.Mahakama yawazuia Spika Wetang’ula na Kingi kujihusisha na kampeni za kisiasa.Washukiwa wanne wakamatwa kwa tuhuma za ulaghai wa ajira wakijifanya maafisa wa…
WORLCUP YATINAGA ROBO FAINALI HUKU KAMOTI SUPER CUP YASHAMIRI MOMBASA KENYA
Kipute cha Kamoti Junior Super Cup makala ya tatu yanaendelea kushika kasi huku hatua ya timu 16 bora ikiingia katika hatua muhimu ya kuwania nafasi ya kutinga robo fainali.Rais wa…
KITUO CHA MAFUTA KATIKATI YA MAKAZI CHAZUA HOFU MALINDI
Wakazi wa Kisumu Ndogo mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wameibua malalamiko kuhusu ujenzi wa kituo cha mafuta katikati ya makazi yao, wakihofia usalama wa maisha na mali zao. Wakazi hao…
UPANUZI WA MALINDI AIRPORT WAKWAMA
https://youtu.be/ZeTbt6cakOI
Serikali Yaombwa Kuharakisha Fidia kwa Walioathirika ili Kufanikisha Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Malindi
Viongozi katika Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kuharakisha malipo ya fidia kwa wamiliki wa ardhi na wakazi walioathirika na mradi wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Malindi,…
