Kenya yaongoza kwa rekodi mpya ya upandaji mikoko
By:Hassan Pojjo & Alii Vincent Kenya imeweka historia mpya katika juhudi za uhifadhi wa mazingira baada ya kupanda miche ya mikoko 4,124 ndani ya sekunde 15 na kufanikiwa kuvunja Rekodi…
Kilele cha Maendeleo
By:Hassan Pojjo & Alii Vincent Kenya imeweka historia mpya katika juhudi za uhifadhi wa mazingira baada ya kupanda miche ya mikoko 4,124 ndani ya sekunde 15 na kufanikiwa kuvunja Rekodi…
Usipitwe na Burudani la Taarab ndani ya Mduara wa Kilele.Pata Mapishi na vidokezo vya Urembo.
By:Juma Rasul Mashinani.Ufadhili wa Masomo.
Wauguzi Watishia Kujiunga na Mgomo |Kenya Yalenga Rekodi ya Dunia ya Mikoko |Serikali Yaongeza Operesheni Marsabit |Nassir Aonya Dhidi ya Siasa za Ukabila |Ruto Afanya Mabadiliko ya Uteuzi Serikalini
By:Alii Vincent Kenya inatarajia kuweka historia duniani Jumapili kwa kujaribu kuvunja rekodi ya Guinness World Records kupitia zoezi la kupanda miche 5,000 ya mikoko ndani ya saa moja. Jaribio hilo…
Sekta ya afya yakabiliwa na mgomo mpya |Kingi alaumu migawanyiko ya viongozi wa Pwani |Waathiriwa wa ufadhili wa Finland wadai fedha zao |Vipaji vya soka kung’ara Changamwe
Muungano wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umetoa notisi ya siku saba ya mgomo, ukisema wanachama wake wataacha kutoa huduma katika hospitali zote za kaunti endapo serikali haitatekeleza matakwa yao.…
Spika wa Seneti, Amason Kingi, amesema ukosefu wa umoja miongoni mwa viongozi wa Pwani, hasa wakati wa uchaguzi, umechangia kuchelewesha maendeleo ya ukanda huo na kudhoofisha ushawishi wake katika siasa…
Walemavu Wakemea Ubaguzi Kilifi |Walimu 50 Waondoka Isiolo Kufuatia Ukosefu Wa Usalama|Ruto Aahidi Elimu Bure Kwa Tvet Na Vyuo|Seneta Mandago Aachiliwa Huru Kesi Ya Sh1.1 Bilioni| Serikali Yatabiri Mvua Za…
By:Glory Mwagambo Watu wenye ulemavu nchini wameitaka serikali na viongozi wa kisiasa kuhakikisha wanashirikishwa kikamilifu katika masuala ya kitaifa na kisiasa bila ubaguzi, wakisema bado wanakumbana na changamoto za kutengwa…