Mwanga wa Kilele|Habari za Jioni|Kilele Radio
Wiper yamtaka Duale ajiuzulu |Serikali kuzindua kituo cha ambulansi |Boda boda wahimizwa usalama barabarani | Mwinjilisti apata kiti cha umeme |Morocco yaifunga Starlets 4-0
Kilele cha Maendeleo
Wiper yamtaka Duale ajiuzulu |Serikali kuzindua kituo cha ambulansi |Boda boda wahimizwa usalama barabarani | Mwinjilisti apata kiti cha umeme |Morocco yaifunga Starlets 4-0
By:Robert Mutasi Mwinjilisti Richard Nyamunyamu kutoka Kaunti ya Nyamira amepokea kiti cha magurudumu kinachoendeshwa kwa umeme baada ya video yake akiimba pamoja na binti yake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.…
By:Farida Ali Serikali inatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kitaifa cha Kuratibu Huduma za Ambulansi wiki ijayo, hatua inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za dharura nchini. Kituo hicho…
Sikiliza Mduara wa Taarab,ukiletewa naye Farida Ali.Pia utapata vidokezo vya urembo na mapisi.
Mwili Wapatikana Ndani ya Gunia |Walimu 20,000 wa JSS Kuajiriwa | IEBC Yatangaza Nafasi ya CEO
By:Robert Mutasi Baraza la Makanisa Nchini Kenya (NCCK) Ukanda wa Mashariki ya Juu limeonya vikali wanasiasa dhidi ya kugeuza nyumba za ibada kuwa uwanja wa kampeni za kisiasa, likiahidi kulinda…
Kenya yavunja rekodi ya Guinness kwa kupanda mikoko 4,124 | Afisa wa DCI ajeruhiwa katika shambulizi Lamu | Daraja la Marere laharibika, tahadhari yatolewa | Watu 11 wakamatwa kwa mbolea…
By:Gloria Mwagambo Wito umetolewa kwa Serikali ya Kaunti ya Kilifi pamoja na wadau wa michezo na wahisani kujitokeza kusaidia kikundi cha vijana cha KD United kinachoshiriki mchezo wa mpira wa…
By:Hassan Pojjo Watumiaji wa Barabara ya Kinango–Kwale wametakiwa kuwa waangalifu kufuatia kuharibika kwa sehemu ya Daraja la Marere (Manolo), hali ambayo imeibua wasiwasi kuhusu usalama wa wasafiri wanaotumia barabara hiyo.…
By:Hassan Pojjo Muwania wa kiti cha Ubunge wa Msambweni kwa tiketi ya Jubilee Party, Omar Mwalago, amesema atatanguliza maslahi ya wananchi kupitia uongozi wa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii…