Wazee wa Kikuyu wa Molo Watoa Wito wa Kuishi kwa Amani Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027
By:Robert Mutasi Wazee wa jamii ya Wakikuyu katika eneo la Molo, Kaunti ya Nakuru, wametoa wito wa amani na mshikamano miongoni mwa jamii mbalimbali nchini, taifa linapoelekea Uchaguzi Mkuu wa…
