Shirika la Reli la Kenya Lazindua Treni za Kisasa za Kupunguza Msongamano
Shirika la Reli la Kenya (KRC) limeeleza hatua kubwa zilizopigwa katika utekelezaji wa mradi wa treni mpya za kisasa zitakazohudumu jijini Mombasa, likilenga kuboresha usafiri wa umma na kupunguza msongamano…
