Mama Amina Wins Grassroots Support
By:Athuman Luchi Nyali residents have pledged to support mama Amina Abdalla’s bid for the Mombasa Women Representative seat, saying they believe she has the leadership qualities to champion the interests…
Kilele cha Maendeleo
By:Athuman Luchi Nyali residents have pledged to support mama Amina Abdalla’s bid for the Mombasa Women Representative seat, saying they believe she has the leadership qualities to champion the interests…
By:Juma Rasul Kilele Biashara.Sikiliza Bei za Bidha Sokoni.
By:Hassan Pojjo Timu ya Kalalani Combined kutoka Mwavumbo, Mariakani, Kaunti ya Kwale, inaendelea kujijengea jina kama jukwaa la kukuza vipaji vya soka kwa vijana kupitia mechi za kirafiki na mashindano…
Wakaazi Wahimizwa Kuzaa Zaidi Mombasa | Dhuluma Dhidi Ya Wanawake Zakemewa Mombasa |Lalama Za Sha Zaanza Kupungua Kwa Walimu |Magic Drinks Yadhamini Rashid Abdallah Super Cup, Kuchochea Maendeleo Ya Soka…
Mduara wa Taarab,Kipindi Kilichoenda shule,Pata Mapishi na Vidokezo Vya Urembo.Mbona Upitwe na Kilele Iko Kwa ajili yako.
By:Alii Vincent Malalamiko kuhusu huduma za matibabu kwa walimu kupitia Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) yameanza kupungua, baada ya walimu kuanza kupata huduma katika baadhi ya hospitali za umma…
By:Athuman Luchi Wakaazi wa Mombasa wametakiwa kuzaa watoto wengi ili kuongeza idadi ya wakazi na, hatimaye, kuongeza idadi ya wapiga kura katika siku zijazo. Akizungumza, Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Nassir,…
By:Athuman Luchi Wito wa kukomesha unyanyasaji dhidi ya wanawake umeendelea kutolewa, huku viongozi wakisisitiza umuhimu wa kulinda haki za wanawake na kuimarisha usawa wa kijinsia, ajenda ambayo imepewa kipaumbele katika…
By:Hassan Pojjo Shirika la Pwani Youth limeungana na washirika wa maendeleo, wafadhili na wadau mbalimbali kutoka barani Afrika katika mkutano unaofanyika wiki hii kuadhimisha miaka 20 ya ushirikiano na mafanikio,…
By:Hassan Pojjo Mashindano ya soka ya Rashid Abdallah Super Cup yamepata msukumo mpya baada ya Magic Drinks Kenya kusaini mkataba wa udhamini wa kusaidia uendeshaji wa mashindano hayo na kukuza…