Wizara ya Kilimo yataka Bunge kuharakisha miswada ya kilimo
By:Robert Mutasi Wizara ya Kilimo na Maendeleo ya Mifugo imeitaka Bunge kuharakisha kupitishwa kwa miswada muhimu ya kilimo na marekebisho yake, ikisema hatua hiyo ni ya msingi katika kuimarisha usalama…
