Mvita yakamilisha ushirikishwaji wa umma wa bajeti ya 2026/2027
By:Hassan Pojjo Mbunge wa Mvita, Mohammed Masoud Machele, ametangaza kukamilika kwa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu mpango wa maendeleo wa mwaka wa fedha 2026/2027, baada ya mkutano wa mwisho…
Tononoka na Kwale High kupeperusha bendera ya Pwani Thika
By:Hassan Pojjo Mashindano ya Kitaifa ya Michezo ya Muhula wa Pili kwa Shule za Sekondari (KSSSA Term Two Ball Games) yanatarajiwa kuanza rasmi Julai 31 hadi Agosti 6, 2026 katika…
Maumivu Ya Meno na Tiba Yake-Afya Ya Jamii-Kilele Radio
Kipindi Kinachoangazia maswala ya afya ya Jamii,Magonjwa Na Tiba Zake.
Mazingira Yatunzwa Mwamdudu Kwale
Wakaazi wa Mwamdudu, Kwale, wanasema wamemaliza kazi yao ya kutunza mazingira – sasa wanataka mazingira yawalipie. Baada ya kurejesha hekta 288 za mikoko iliyoharibika, wanachama wa Chama cha Jumuiya ya…
Taarifa za Umoja wa Mataifa-EU/UN News
Msikilizaji wa Kilele Redio, sasa tunaungana na washirika wetu wa Redio ya Umoja wa Mataifa kukuletea Jarida la Umoja wa Mataifa. Endelea kuwa nasi na usiondoke, sikiliza hadi tamati.
Kwale Community Demands Ecotourism Investment After Restoring 288 Hectares of Mangroves
By:Terryan Mwadzaya After years of trudging through thick mud to replant degraded coastline, residents of Mwamdudu in Kwale County say they have done their part for the environment — now…
Mwanga Wa Kilele-7pm News
Disco Matanga Yatuhumiwa Kuchochea Uhalifu Malindi. Wapwani Watakiwa Kujiepusha Na Wachochezi. Daktari Aomba Ukosefu Wa Nguvu Za Kiume Utambuliwe Kama Ulemavu
DISCO MATANGA YATUHUMIWA KUCHOCHEA UHALIFU MALINDI
By:Glory Mwagambo Washikadau wa usalama, viongozi wa dini na jamii mjini Malindi wameungana kutafuta suluhu ya kudumu kwa ongezeko la uhalifu katika mitaa ya Mere na Ganda, Kaunti ya Kilifi.…
Vijana Pwani Chukueni Vitambulisho
By:Farida Ali Mwakilishi wa Wanawake wa Mombasa, Zamzam Mohammed, amewataka vijana wa Pwani kuchukua vitambulisho vya kitaifa na kadi za wapiga kura ili kufikia fursa za maendeleo. Akizungumza Kisauni wakati…
Wapwani Watakiwa Kujiepusha na Wachochezi
By:Farida Ali Wapwani wametakiwa kujiepusha na kauli za uchochezi na ukabila zinazoweza kuhatarisha amani na umoja wa taifa. Wito huo umetolewa na Mbunge wa Kisauni, Rashid Bedzimba, ambaye amewataka wananchi…
