WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA CHANGAMWE WAHIMIZWA KUOMBA UFADHILI WA NG-CDF
By:Hassan Pojo Wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu kutoka eneo bunge la Changamwe wamehimizwa kuwasilisha maombi ya ufadhili wa masomo kupitia Hazina ya Maendeleo…
