MRADI WA IMARISHA WAZINDULIWA KUIMARISHA UONGOZI WA WANAWAKE NA AMANI KATIKA UKANDA WA PWANI
By:Gloria Mwaganda Shirika la Kenya Community Support Centre (KECOSCE) kwa ushirikiano na mashirika mbalimbali ya kiraia limezindua rasmi mradi wa IMARISHA, unaolenga kuimarisha uongozi wa wanawake na kuongeza ushiriki wao…
