MBUNGE BADI TWALIB ASEMA MAONI YA WANANCHI YATAONGOZA MATUMIZI YA NG-CDF
By:Hassan Pojjo Wananchi wa Wadi ya Jomvu Kuu wamejitokeza kwa wingi kushiriki kikao cha ushirikishwaji wa umma kuhusu upangaji wa miradi ya maendeleo itakayofadhiliwa kupitia Hazina ya Maendeleo ya Maeneo…
