KARISA AAHIDI SULUHISHO LA MAJI JOMVU
By:Hassan Pojjo Tatizo la maji limeendelea kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Jomvu, huku mwanasiasa anayewania ubunge wa eneo hilo, Karisa Nzai Munyika, akisema juhudi za kupata suluhisho la kudumu…
Kilele cha Maendeleo
By:Hassan Pojjo Tatizo la maji limeendelea kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Jomvu, huku mwanasiasa anayewania ubunge wa eneo hilo, Karisa Nzai Munyika, akisema juhudi za kupata suluhisho la kudumu…
By:Alii Vincent Siasa za ukabila zimeendelea kuzua mjadala katika Kaunti ya Kilifi huku joto la kisiasa likiongezeka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, viongozi kutoka Eneo Bunge la Rabai wakionya dhidi…
By:Alii Vincent Huku joto la Uchaguzi Mkuu wa 2027 likizidi kupanda, viongozi wa dini chini ya mwavuli wa Baraza la Makanisa Nchini (NCCK) wameonya dhidi ya matumizi ya fedha na…
By:Alii Vincent Wakazi wa Kaliang’ombe katika eneo bunge la Rabai, Kaunti ya Kilifi, wameitaka serikali kuharakisha mchakato wa fidia kwa wananchi wanaodai kuathiriwa na milipuko ya baruti inayotumiwa na kampuni…
By:Alii Vincent Zaidi ya vitambulisho 1,500 bado havijachukuliwa katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, huku wakazi wakihimizwa kujitokeza kuvichukua pamoja na kadi zao za wapiga kura ili kujitayarisha mapema…
By:Hassan Pojjo Wakazi wa Wadi ya Miritini, katika Eneo Bunge la Jomvu, wamejitokeza kwa wingi kushiriki kikao cha ushirikishwaji wa umma kilicholenga kukusanya maoni kuhusu miradi ya maendeleo itakayofadhiliwa kupitia…
Taarifa kuu zilizogonga Vichwa Vya Habarini nchini.