ST. CHARLES LWANGA YATWAA UBINGWA
By:Hassan Pojjo Shule ya St. Charles Lwanga imeibuka mabingwa wa mashindano hayo baada ya kuonyesha kiwango cha juu cha ushindani, nidhamu na uchezaji bora. Ushindi huo umechangiwa na juhudi za…
Kilele cha Maendeleo
By:Hassan Pojjo Shule ya St. Charles Lwanga imeibuka mabingwa wa mashindano hayo baada ya kuonyesha kiwango cha juu cha ushindani, nidhamu na uchezaji bora. Ushindi huo umechangiwa na juhudi za…
By:Farida Ali Ukurasa mpya wa uwezeshaji vijana umeanza kuandikwa jijini Mombasa, baada ya Serikali ya Kaunti kusajili zaidi ya taasisi 400 za mafunzo ya ufundi chini ya mpango wa Elimu…
By:Hassan Pojjo Aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma, Aisha Jumwa, ametangaza kujiondoa rasmi katika Chama cha United Democratic Alliance, UDA, hatua inayotarajiwa kuathiri siasa za Pwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa…
By:Hassan Pojjo Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Rabai wanatarajiwa kupata nafuu ya upatikanaji wa maji baada ya Mbunge wa Rabai, Antony Kenga Mupe, kuzindua rasmi mradi wa kisima cha…
By:Robert Mutasi Wazee wa jamii ya Wakikuyu katika eneo la Molo, Kaunti ya Nakuru, wametoa wito wa amani na mshikamano miongoni mwa jamii mbalimbali nchini, taifa linapoelekea Uchaguzi Mkuu wa…
By:Robert Mutasi Health services in Homa Bay County have been paralyzed after 742 nurses working in public health facilities downed their tools on Tuesday, July 29, 2026, joining the nationwide…
By:Robert Mutasi Police in Belgut Sub-County, Kericho County have seized 70 cartons of suspected counterfeit alcohol in a major crackdown on illicit brew, targeting illegal outlets around Kabianga. The operation,…
By:Hassan Pojjo Mashindano ya Kamoti Junior Super Cup makala ya tatu yataendelea Jumamosi, Agosti 1, 2026, huku timu nne zikitarajiwa kushuka dimbani katika mechi mbili za kusisimua zitakazofanyika katika Kaunti…
By:Hassan Pojjo Mbunge wa Mvita, Mohammed Masoud Machele, ametembelea Gereza la Mombasa Remand, maarufu kama Jela Baridi, ambapo ameshuhudia Kamati ya Mvita NG-CDF ikikabidhi rasmi eneo la mradi wa ujenzi…