Wanafunzi Buhigwe, Kigoma kupata mbinu za kisasa za kilimo na ufugaji
Kabla ya mradi huu kuja walimu shuleni pamoja na wanafunzi walikuwa wanalima kwa mbinu zao za kawaida za asili ikiwemo kuweka mbolea, lakini unakuta hata kuvuna walikuwa hawavuni kama inavyopaswa,…
