Wakaazi wa Kisumu Ndogo Malindi Walalamikia Utupaji Holela wa Taka
Wakaazi wa Kisumu Ndogo mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wamelalamikia ongezeko la taka zinazotupwa karibu na shule mbili za msingi, wakisema hali hiyo inahatarisha afya ya wanafunzi na kutatiza shughuli…
Onyo kwa Vijana Dhidi ya Uhalifu Wakati wa Maandamano
Vijana wametakiwa kuepuka uvunjaji wa sheria na vitendo vya uhalifu wakati wa maandamano yatakayofanyika kesho ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki katika maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa mwaka…
Kaunti za Taita Taveta na Tana River Zaongeza Moto Rashid Abdalla Super Cup
Mashindano ya Rashid Abdalla Super Cup yamezinduliwa rasmi kwa mara ya saba, yakivutia timu 44 kutoka ukanda wa Pwani katika kile kinachotarajiwa kuwa moja ya matoleo yenye ushindani mkubwa zaidi…
THUNDEROUS CALL FOR JUSTICE: “No Widow Must Be Left Behind, Nyali MP Hopeful Elkana Jacob vows To Champion Widow’s Rights, Dignity and Economic Empowerment
As the world observed International Widows Day, Nyali MP aspirant Elkana Jacob made a bold and far-reaching commitment to place widows at the center of his development agenda, promising greater…
MWANGA WA KILELE||MAANDAMANO YA GEN-Z YANUKIA MOMBASA||WANAODAI KUNYOFOLEWA SEHEMU NYETI KUKAMATWA
Idara ya Usalama katika Kaunti ya Mombasa imepuuzilia mbali uvumi kuhusu kupotea kwa sehemu za siri za wanaume, ikisema madai hayo si ya kweli. Ikiwa zimesalia siku mbili kabla ya…
JARIDA LA UMOJA WA MATAIFA|| SIKU YA WAJANE DUNIANI|| WAKIMBIZI KURUDI NYUMBANI DRC
Leo ni Siku Ya Wajane Duniani ||Wakimbizi Kurudi Nyumbani kwa hiari DRC||Sikiliza Taarifa Kamili.
MIMBA ZA MAPEMA ZAONGEZEKA MALINDI
Visa vya mimba za utotoni vimeendelea kuongezeka mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, hali iliyowafanya wakazi kuitaka serikali, wazazi na walimu kuongeza juhudi za kuwaelimisha watoto kuhusu madhara ya mimba za…
WAHUNI KATIKA MAANDAMANO WAKAMATWE
Ikiwa zimesalia siku mbili kabla ya maandamano ya vijana wa Gen Z ya kuwakumbuka wenzao waliofariki wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa 2024/2025, serikali imetakiwa kuhakikisha usalama…
WANAODAI KUPOTEZA SEHEMU NYETI KUKAMATWA MOMBASA
Idara ya Usalama katika Kaunti ya Mombasa imepuuzilia mbali uvumi kuhusu kupotea kwa sehemu za siri za wanaume, ikisema madai hayo si ya kweli. Akizungumza kwa niaba ya idara hiyo,…
KIJANA AUWAWA KWA MADAI YA KUNYOFOA SEHEMU NYETI MOMBASA||BODABODA WADAI KUTENGWA NA SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA||MWANGA WA KILELE||HABARI NA MATUKIO
Kijana mmoja wa makamo ameuawa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Marikiti baada ya kushukiwa kuhusika katika tukio la kuchukua sehemu za siri za mwanaume mwingine katika…
