Kindiki Awasili Tanzania kwa Mkutano wa Africa50
By:Alii Vincent Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki amewasili jijini Dar es Salaam, Tanzania, kumwakilisha Rais Dkt. William Ruto katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Shirika la Africa50 na Jukwaa la…
Wakazi wa Vikobani Kunufaika na Hati Miliki
By:Alii Vincent Wakazi wa eneo la Vikobani katika kaunti ndogo ya Jomvu, Mombasa, wanaendelea kunufaika na mpango wa Serikali ya Kaunti ya Mombasa wa kuwapatia hati miliki za ardhi, huku…
MPs Raise Alarm Over Slow Pace of Land Registry Digitization, Only 2 Out of 83 Gone Digital
By:Robert Mutasi Members of Parliament have raised serious concerns over the slow pace of implementation of the Digital Land Management Information System, five years after the ambitious digitization program was…
Memon, Almiraj na Precious Hope watembelea Bunge
By:Hassan Pojjo Wanafunzi wa shule za Memon Academy ya Mvita, Almiraj Academy ya Likoni na Precious Hope School ya Kitutu Chache, Kaunti ya Kisii, wamepata fursa ya kujifunza kwa vitendo…
Cabro ya Maendeleo Yainua Majengo
By:Hassan Pojjo Wakaazi wa Majengo/Mwembetayari katika eneo bunge la Mvita wanatarajia kunufaika na ujenzi wa Barabara ya Burnley Access Road, unaoendelea kwa kasi na unaolenga kuboresha usafiri pamoja na kuchochea…
Summertide Festival Sparks Religious Debate
By:Glory Mwagambo Muslim religious leaders in Kenya’s coastal Kilifi County have called on the government to review the upcoming Summertide Festival, arguing that authorities should weigh its potential social and…
Viongozi Wataka Summertide Isitishwe
By:Glory Mwagambo Viongozi wa dini ya Kiislamu mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wamepinga vikali kufanyika kwa tamasha la Summertide linalotarajiwa kufanyika Jumamosi hii kwa awamu ya pili, wakidai kuwa linaweza…
Tanzania Kusafirisha Gesi Kenya na Uganda
By:Hassan Pojjo Serikali ya Tanzania imetangaza mpango wa kusambaza gesi asilia kwenda Kenya na Uganda kupitia miundombinu ya bomba moja, hatua inayotarajiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kuongeza matumizi ya nishati…
Mastaa wa Zamani Warejea Uwanjani, Chanagande FC Yashinda Bomu Stadium
By:Hassan Pojjo Uwanja wa kisasa wa Bomu Stadium uligeuka kuwa jukwaa la kumbukumbu na burudani baada ya wachezaji wa zamani wa soka kurejea uwanjani katika mchezo maalum uliowakutanisha mastaa waliowahi…
