Mwanga wa Kilele|Habari za Asubui|Kilele Radio
Mwili Wapatikana Ndani ya Gunia |Walimu 20,000 wa JSS Kuajiriwa | IEBC Yatangaza Nafasi ya CEO
Kilele cha Maendeleo
Mwili Wapatikana Ndani ya Gunia |Walimu 20,000 wa JSS Kuajiriwa | IEBC Yatangaza Nafasi ya CEO
Nafasi ya Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini, IEBC, imetangazwa rasmi huku Wakenya wenye sifa wakialikwa kutuma maombi. Kwa mujibu wa taarifa ya IEBC, atakayeteuliwa…
By:Robert Mutasi Baraza la Makanisa Nchini Kenya (NCCK) Ukanda wa Mashariki ya Juu limeonya vikali wanasiasa dhidi ya kugeuza nyumba za ibada kuwa uwanja wa kampeni za kisiasa, likiahidi kulinda…
Thirteen youths were arrested during overnight security operations in Lenya Kajohn Village, Central Sakwa, Siaya County, following protests against a proposed nuclear power plant, according to local activists. Residents opposed…
Kenya yavunja rekodi ya Guinness kwa kupanda mikoko 4,124 | Afisa wa DCI ajeruhiwa katika shambulizi Lamu | Daraja la Marere laharibika, tahadhari yatolewa | Watu 11 wakamatwa kwa mbolea…
By:Farida Ali Hali ya taharuki ilitanda katika Kisiwa cha Lamu, Kaunti ya Lamu, baada ya afisa mmoja wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kujeruhiwa na kijana. Tukio…
By:Robert Mutasi The Directorate of Criminal Investigations (DCI) has made a major breakthrough in the ongoing crackdown on a suspected counterfeit fertiliser syndicate, arresting more suspects and recovering thousands of…
By:Hassan Pojjo Watumiaji wa Barabara ya Kinango–Kwale wametakiwa kuwa waangalifu kufuatia kuharibika kwa sehemu ya Daraja la Marere (Manolo), hali ambayo imeibua wasiwasi kuhusu usalama wa wasafiri wanaotumia barabara hiyo.…
By:Hassan Pojjo Muwania wa kiti cha Ubunge wa Msambweni kwa tiketi ya Jubilee Party, Omar Mwalago, amesema atatanguliza maslahi ya wananchi kupitia uongozi wa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii…
Wauguzi Watishia Kujiunga na Mgomo |Kenya Yalenga Rekodi ya Dunia ya Mikoko |Serikali Yaongeza Operesheni Marsabit |Nassir Aonya Dhidi ya Siasa za Ukabila |Ruto Afanya Mabadiliko ya Uteuzi Serikalini